ADVERT

Thursday, July 5, 2012

BABY FASHION IMEKULETEA MZIGO MPYA

Baby Fashion ni duka la namna yake katika kuhakikisha watoto na watu wazima wanapata nguo bora na nzuri kwa bei ambayo wewe mteja utaridhika nayo.

Baby Fashion wamekuletea vitu vipya kama nguo za kike na kiume, viatu, saa, vibanio vya nywele na bangili, chain za kisasa kwa watoto na watu wazima wa jinsia zote.
Pamba zinaendana na wakati, ambazo zitakupa wewe mtumiaji kujiamini hata unapopita mbele za watu. Mtoto wako atapendwa na wengi kutokana na vile unamvalisha nguo zinazomstili. Mtoto wako utamfanya akue katika mazingira ya kupenda usafi na kujiamini mbele za wengine
Baby Fashion wanatoa mzigo kutoka nje ya bara la Afrika kwa lengo la kuhakikisha unapendeza na unapata pamba zilizobora zaidi kwa bei poa sana.


Ukifika Baby Fashion utakutana na wauzaji warembo watakao kupokea na kukupa ushauri wa nguo gani au kiatu gani au saa gani inaendana na ulivyo.


Baby Fashion wanapatika

Msasani mbele kidog ya kituo cha General Tyre ukiwa umetokea polisi za Oysterbay Dar es Salaam

wasiliana nao kwa:

Barua Pepe: veronica90@gmail.com

Simu: +255 714 81 33 13

Blog: www.babyfashion12.blogspot.com